Chui mmoja aliyekuwa amesakamwa na kiu alijipata kwenye shida zaidi
baada ya kichwa chake kukwama kwenye chungu akijaribu kufikia maji. Chui
huyo katika jimbo la Rajasthan, kaskazini mwa India alikwamba kwenye
chungu hicho kwa muda wa saa tano akijaribu kujinasua bila kufua dafu.
Mwishowe, ilibidi maafisa wa huduma za wanyamapori kumtuliza na kutoa
kutoa chungu hicho.
Reviews:
Post a Comment