CUF kususia marudio ya uchaguzi Zanzibar
Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza kwamba hakijashiriki uchaguzi wa marudio ambao umepangiwa kufanyika Machi 20.
Viongozi wa chama hicho wamesema uchaguzi halali ulishafanyika mwaka jana.
Chama hicho kimesisitiza kwamba mshindi wa uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba anafaa kutangazwa.
Mapema mwezi huu, chama hicho kilitahadharisha kwamba huenda kukazuka fujo uchaguzi ukirudiwa.

Reviews:

Post a Comment

PRINCE PRODUCT © 2014 - Designed by Templateism.com, Plugins By MyBloggerLab.com | Published By Gooyaabi Templates

Contact us

Powered by Blogger.