Rais Magufuli amefanya mabadiliko Benki Kuu ya Tanzania leo Jan 28 2016
Rais John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko ya uteuzi na kumtea Julian Banzi Raphael kuwa  Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akichukua nafasi ya Juma Reli ambaye muda wake umeisha.

Reviews:

Post a Comment

PRINCE PRODUCT © 2014 - Designed by Templateism.com, Plugins By MyBloggerLab.com | Published By Gooyaabi Templates

Contact us

Powered by Blogger.