Refa kapata bahati ya kuchezesha mechi Ronaldinho akiwa ndani, akabidi aombe kupata kumbukumbu
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Ronaldinho Gaucho ameingia kwenye headlines baada ya refa kumuomba Ronaldinho asaini kadi yake ya njano kama ambavyo wengi huwa wanafanya wanapokutana na mastaa huwa wanaomba kusainiwa vitabu vyao vya kumbukumbu na watu maarufu.
Katika maisha hutokea mara chache sana mtu kupata bahati ya kukutana na staa wa kiwango cha dunia, Ronaldinho ambaye alikuwa Ecuador kucheza mchezo wa hisani kwa ajili ya kuchangisha fedha, aliingia kwenye headlines baada ya mapumziko refa kuomba apate saini ya Ronaldinho lakini kwa sababu hakuwa na kitabu cha kumbukumbu ikabidi kuomba Ronaldinho asaini kadi yake ya njano.

Reviews:

Post a Comment

PRINCE PRODUCT © 2014 - Designed by Templateism.com, Plugins By MyBloggerLab.com | Published By Gooyaabi Templates

Contact us

Powered by Blogger.