Basi La kampuni ya Simba Mtoto la pata ajari
WATU kadhaa wamekufa na wengine wamejeruhiwa kufuatia ajali mbaya iliyohusisha Basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga lililogongana uso kwa uso na Lori, iliyotokea eneo la Panga Mlima wilayani Korogwe mkoani Tanga Asubuhi hii.
 
 
 
 

Reviews:

Post a Comment

PRINCE PRODUCT © 2014 - Designed by Templateism.com, Plugins By MyBloggerLab.com | Published By Gooyaabi Templates

Contact us

Powered by Blogger.