
Kwenye Hekaheka ya Clouds Fm Feb 18 2016 inamuhusu Mwanamke mjamzito na watoto wake wawili kukutwa katika hostel za Wanafunzi Dar, kaamua kuondoka nyumbani baada ya kuwa akipokea kipigo mara kwa mara kutoka kwa mume wake kwa madai kuwa kamsababishia maambukizi ya UKIMWI.
Geah Habib alipata time ya kuhoji imekuwaje hadi akawa hapo? ‘Ugomvi wetu ni wa muda mrefu, baada ya kupata mwanamke mwingine mume wangu akaanza kuninyanyasa hadi tumefikishana kwa mabalozi‘
‘Madai yake eti mimi nimeuleta UKIMWI ndani ya nyumba, mimi nikaamua kuondoka hadi muda huu nipo hapa kwasababu pia amekuwa akininyanyasa‘
Full stori nimekurekodia kwenye hii sauti hapa chini….
Reviews:
Post a Comment